Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Msalala anawatangazia wananchi wote wa Halmashauri ya Msalala kuhudhuria Kikao cha Baraza la Madiwani kitakachofanyika katika ukumbi wa Halmashauri hiyo. Kikao hicho kitafanyika tarehe 03/05/2018 hadi 04/05/2018. Wananchi wote mnakaribishwa ktk kikao hicho.
Igomelo area
Sanduku la Barua: P.O.BOX 16 KAHAMA
Simu ya mezani: +255 271 0 182
Namba za simu:
Baruapepe: ded@msalaladc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.