Halmashauri ya Wilaya ya Msalala imefungua milango kwa wananchi kuweza kuanzisha viwanda vidogo ili kujiongezea kipato. Halmashauri ipo kwenye mkakati wa kutenga maeneo ambayo wananchi wataweza kufanya shunguli zao za uzalishaji bila bugudha.
Igomelo area
Sanduku la Barua: P.O.BOX 16 KAHAMA
Simu ya mezani: +255 271 0 182
Namba za simu:
Baruapepe: ded@msalaladc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.