• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Baruapepe za watumishi |
Msalala District Council
Msalala District Council

Jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji nyuki
    • Idara
      • Aridhi na Nyumba
      • Maendeleo ya jamii
      • Mipango Takwimu na Tathimin
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Maji
      • Ujenzi na Miundombinu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Utalii
    • Kilimo
    • Misitu
    • Ufugaji Nyuki
    • Viwanda
    • Usafirishaji
    • Michezo na Burudani
    • Ufugaji
    • Biashara
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Kukodisha Mitambo
    • huduma za Afya
    • huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Animal Keeping
    • Kilimo
    • Huduma kwa Watumishi
    • Tasaf
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Councillors meeting
      • Chairperson Appointment
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning Committee
      • HIV Committee
      • Health and Education Committee
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Hatua
      • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango mkakati
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Matukio Picha
    • Habari
    • Matukio

Historia


Halmashauri ya Wilaya Msalala ilianza rasmi kutekeleza bajeti yake tarehe 01/07/2013 baada ya kutangazwa katika Gazeti la Serikali la tarehe 31/08/2012 kwa GN Na. 286 kuwa Mamlaka kamili ya Halmashauri ya Wilaya Msalala. Halmashauri ya Msalala ilianzishwa baada ya Halmashauri ya Wilaya ya Kahama  kugawanyika na hivyo kuzaa Halmashauri ya Ushetu na Halmashauri ya Msalala.

Wenyeji wa Halmashauri

Wenyeji  wa Halmashauri ya wilaya ya Ushetu ni wa Makabila ya  Wasukuma, Wasumbwa na Wanyamwezi. makabila mengine ni kama Waha, Wahangaza na Wasubwa.

 Halmashauri ya Msalala imepakana na Mkoa wa Geita kwa upande wa Kaskazini na Kusini imepakana na mkoa wa Tabora, upande wa magharibi imepakana na Wilaya ya Shinyanga Vijijini na Halmashauri ya Mji wa Kahama.

The district borders Geita region to the north and to the south it borders with Tabora region. To the west, the district borders with Shinyanga district and to the west it borders Kahama Town Council. Administratively Msalala district has 2 Division, 16 Wards, 82 Villages and 322 Sub-villages. The district occupies an area of 263,520.2 hectares (2,635.52 km2) which is equivalent to 5.2% of the total area of Shinyanga region i.e 50,781 km².

2.1.2 Population Size and Growth

According to the 2012 Population and Housing Census Msalala district had 250,727 people out of which 122,234 were males and 128,493 were females. 

2.1.3 ETHNIC GROUPS

The population of MDC consists principally of Wasukuma, Wasumbwa and Wanyamwezi. Other ethnic groups are known as Waha, Wahangaza and Wadakama.

 

 

2.1.4 Education 

There are 87 primary schools in the district out of which 85 are government schools and 2 are privately owned. There are 51,295 pupils in government primary schools out of which 25,188 are boys and 26,107 are girls. In private schools there are 257 pupils of which 124 are boys and 133 are girls. The district has 14 government secondary schools.

2.1.5  Health

There are two (2) Government Rural Health Centres and 16 Government Dispensaries in the district. The district has no hospital.

2.1.6 Water

The district has 5 water piped scheme (2 under construction), 295 shallow-wells, 18 deep-wells.

2.1.7  Road network

The total road-network in the district is 715 km of which 25 km are tarmac road, 205 km are gravel and 485 km are earth-feeder roads.

Matangazo

  • Nafasi za Kazi za Udereva February 12, 2020
  • Sikukuu za Nane Nane July 24, 2019
  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUUZA MAGARI NA CHUMA CHAKAVU October 09, 2017
  • PICHA ZA GARI AINA YA ISUZU, TOYOTA LANDCRUISER NA NISSAN PATROL NA CHUMA CHAKAVU VITAKAVYOUZWA October 10, 2017
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Halmashauri kutoa fedha kwa wananchi nje nje

    June 30, 2020
  • MAANDIKO YAIBEBA HALMASHAURI

    January 30, 2020
  • Kamati ya Lishe yajizatiti kuhakikisha jamii inakuwa na afya bora

    November 29, 2019
  • Kamati ya fedha, uongozi na mipango yataka miradi ikamilishwe kwa wakati

    September 02, 2019
  • Tazama yote

Video

AFSA MANUNUZI WA WILAYA PAMOJA NA LOCAL FUNDI WAMEOMBA ZABUNI PAMOJA NA UJENZI WA ZAHANATI YA NGAYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • MKATABA WA KUKODISHA MITAMBO

Viunganishi fanano

  • TAMISEMI Website
  • Shinyanga Website
  • Ajira portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Habari, Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Igomelo area

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 16 KAHAMA

    Simu ya mezani: +255 271 0 182

    Namba za simu:

    Baruapepe: ded@msalaladc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.