• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Baruapepe za watumishi |
Msalala District Council
Msalala District Council

Jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji nyuki
    • Idara
      • Aridhi na Nyumba
      • Maendeleo ya jamii
      • Mipango Takwimu na Tathimin
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Maji
      • Ujenzi na Miundombinu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Utalii
    • Kilimo
    • Misitu
    • Ufugaji Nyuki
    • Viwanda
    • Usafirishaji
    • Michezo na Burudani
    • Ufugaji
    • Biashara
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Kukodisha Mitambo
    • huduma za Afya
    • huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Animal Keeping
    • Kilimo
    • Huduma kwa Watumishi
    • Tasaf
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Councillors meeting
      • Chairperson Appointment
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning Committee
      • HIV Committee
      • Health and Education Committee
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Hatua
      • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango mkakati
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Matukio Picha
    • Habari
    • Matukio

HALMASHAURI YAONGEZA BAJETI YA MADAWA

imetumwa: January 28th, 2021

Halmashauri ya Wilaya yaMsalala imeomba idhini ya kufanya manunuzi ya vifaa tiba na madawa yaZaidi ya milioni ishirini na tano, ambapo Mkurugenzi mtendaji (W)ndugu Simon Berege aliwasilisha ombi hilo mbele ya baraza la Madiwanileo katika kikao cha baraza la madiwani katika ukumbi wa Halmashaurihiyo uliopo katika kata ya Ntobo. Akiwasilisha ombi hilo ndg. SimonBerege amesema “ vituo vyetu vya kutolea huduma vingi vimeboreshahuduma kupitia fedha za RBF, bima za jamii, fedha za papo kwa papo nahivyo Halmashauri ikiwa mmiliki wa vituo hivyo imeona ni vemaiviongezee fedha kwa ajili ya kununulia madawa ambayo yatatumikakuhudumia jamii.

Wakichangia hoja katika ajendahii, waheshimiwa madiwani wameipitisha bajeti hii na kuitakaHalmashauri kuongeza fedha hizo katika bajeti ya kipindi kijacho ilikuwezesha vituo hivyo kuwa na madawa na vifaa tiba muda wote nakuondoa au kupunguza tatizo la ukosefu wa madawa na vifaa tiba ndaniya Halmashauri. Waheshimiwa madiwani hao wamemtaka MkurugenziMtendaji (W) kusimamia madawa na vifaa tiba hivyo pindivitakaponunuliwa kwani kuna baadhi ya watendaji wa Halmashauri siowaaminifu.

Katikakikao hicho mada mbalimbali zimejadiliwa na kutolewa ufafanuzi naufumbuzi, miongoni mwa mada hizo ni fedha zinazopatikana kutokana nauendeshaji wa shughuli za madini katika mgodi wa Bulyanhulu ambapoMkurugenzi Mtendaji amesema hadi kufikia leo mwekezaji alikuwahajalipa fedha zinazorudi kwa ajili ya kutekeleza miradi ya jamii,(fedha za CSR) ambapo Mkurugenzi huyo amesema wameishauri fedha hizozilipwe Halmashauri ili kuweza kukamilisha mradi mmoja utakaoonekanabadala ya kulipa vijiji kidogo kidogo, waheshimiwa madiwani wamemtakamkurugenzi Mtendaji kumwaandikia  barua mwekezaji ili alipe fedhandani ya siku saba vinginevyo baadhi ya waheshimiwa Madiwaniwatakwenda kuomba msaada TAMISEMI ili kuwezesha miradi kukamilika kwawakati kwani ikumbukwe kuna suala la madarasa kwa wanafunzi wasekondari yanahitaji kukamilika.

Imetolewana kitengo cha Habari na Mawasiliano Halmashauri ya Msalala.

Matangazo

  • Nafasi za Kazi za Udereva February 12, 2020
  • Sikukuu za Nane Nane July 24, 2019
  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUUZA MAGARI NA CHUMA CHAKAVU October 09, 2017
  • PICHA ZA GARI AINA YA ISUZU, TOYOTA LANDCRUISER NA NISSAN PATROL NA CHUMA CHAKAVU VITAKAVYOUZWA October 10, 2017
  • Tazama yote

Habari mpya

  • HALMASHAURI YAONGEZA BAJETI YA MADAWA

    January 28, 2021
  • Halmashauri kutoa fedha kwa wananchi nje nje

    June 30, 2020
  • MAANDIKO YAIBEBA HALMASHAURI

    January 30, 2020
  • Kamati ya Lishe yajizatiti kuhakikisha jamii inakuwa na afya bora

    November 29, 2019
  • Tazama yote

Video

AFSA MANUNUZI WA WILAYA PAMOJA NA LOCAL FUNDI WAMEOMBA ZABUNI PAMOJA NA UJENZI WA ZAHANATI YA NGAYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • MKATABA WA KUKODISHA MITAMBO

Viunganishi fanano

  • TAMISEMI Website
  • Shinyanga Website
  • Ajira portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Habari, Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Igomelo area

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 16 KAHAMA

    Simu ya mezani: +255 271 0 182

    Namba za simu:

    Baruapepe: ded@msalaladc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.