Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, ndugu. Khamis Jafaar Katimba anawatangazia wananchi wote kuwa kutakuwa na kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Msalala tarehe 25 na 26 mwezi wa 7 mwaka 2023, lengo la kikao hicho ni kujadili na kupitisha Taarifa za Robo ya nne ya Utekelezaji wa sgughuli za Halmashauri, wananchi wote mnakaribishwa katika kikao hicho. Kikao hicho kitafanyika katika ukumbi wa Halmashauri hiyo uliopo katika kata ya Ntobo Kilomita 25 toka Kahama Mjini.
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.