Walio chagulliwa katika usaili wa kuandika wanatakiwa kufika katika chumba cha usaili kama ilivyo ainishwa hapo chini ;-
VEOS Kuanzia namba 01 - 50 wanatakiwa kufika katika chumba cha usaili Tarehe 05/10/2017 Saa 2:00 Asubuhi katika ukumbi wa Halmashauri ya Msalala
VEOS Kuanzia namba 50 - 99 wanatakiwa kufika katika chumba cha usaili Tarehe 06/10/2017 Saa 2:00 Asubuhi katika ukumbi wa Halmashauri ya Msalala
Madereva ni tarehe 05/10/2017 wanatakiwa kufika katika chumba cha usaili Saa 2:00 Asubuhi katika ukumbi wa Halmashauri ya Msalala
RMA na PS ni tarehe 07/10/2017 wanatakiwa kufika katika chumba cha usaili Saa 2:00 Asubuhi katika ukumbi wa Halmashauri ya Msalala
Ukurasa wa majina ya washirikiwote yameambatanishwa hapo chini.
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.