Maadhimisho ya Sikukuu mwaka huu yatafanyika kitaifa Mkoani Simiyu ambapo Halmashauri ya Msalala itahudhulia maadhimisho hayo ambapo Mgeni rasmi wa Sikukuu hiyo ni MHE. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR. John Joseph Magufuli.
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.