Shughuli za uchimbaji madini zipo katika baadhi ya maeneo ya Halmashauri. Kunauchimbaji wa madini mkubwa, wa kati na mdogomdogo ambao unaendelea ndani ya Halmashauri ya Msalala ambao umekuwa ni chanzo cha mapato ndani ya Halmashauri yetu.Shughuri hii imekuwa ikifanywa na wananchi na kuwafanya vijana wengi kujipatia kipato na pia upunguza wimbi la vijana kutokuwa na kazi.
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.