• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Baruapepe za watumishi |
Msalala District Council
Msalala District Council

Jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
    • Idara
      • Aridhi na Nyumba
      • Maendeleo ya jamii
      • Mipango Takwimu na Tathimin
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Maji
      • Ujenzi na Miundombinu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Utalii
    • Kilimo
    • Misitu
    • Ufugaji Nyuki
    • Viwanda
    • Usafirishaji
    • Michezo na Burudani
    • Ufugaji
    • Biashara
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Kukodisha Mitambo
    • huduma za Afya
    • huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Animal Keeping
    • Kilimo
    • Huduma kwa Watumishi
    • Tasaf
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Councillors meeting
      • Chairperson Appointment
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning Committee
      • HIV Committee
      • Health and Education Committee
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Hatua
      • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango mkakati
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Matukio Picha
    • Habari
    • Matukio

Kuanzisha ufugaji Samaki

HALIMASHAULI YA WILAYA YA MSALALA

JIKIMU KIMAISHA KWA KUFUGA SAMAKI

  • UTANGULIZI

Samaki ni chakula chenye protin inayosifika sana na moja wapo wa nyama nyeupe katika nchi yetu.Hata hivyo soko la samaki linazidi kupanuka katika nchi yetu kutokana naufugaji na utunzaji wa samaki.

  • KWANINI UFUGE SAMAKI
  • Samaki anakua haraka.
  • Soko la samaki lipo tayali muda wowote.
  • Ufugaji wake ni laisi sana pale mtaji wako utakapo kua.
  • Samaki anavirutubisho bora.
  • SIFA ZA SAMAKI ANAYEFAA KWA KUFUGA
  • Awe anazaliana kwa urahisi.
  • Awe anakula aina nyingi ya vyakula.
  • Awe anavumilia magonjwa na hali mbaya ya hewa.
  • Awe anakua haraka.
  • Awe rahisi kufugika.
  • Awe anahitajika sana sokoni.
  • MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA HUJAANZISHA MRADI WA SAMAKI
  • Uwepo wa soko la samaki.
  • Upatikanaji wa mali gafi.
  • Ushauli wa kitaalamu.
  • Uwepo wa miundo mbinu muhimu.
  • Upatikanaji wa nguvu kazi.
  • Ushindani katika soko.
  • Maswala ya kishelia.
  • MAHITAJI MAKUU YA SAMAKI
  • Bwawa kuwa na maji masafi wakati wote.
  • Bwawa kupata mwanga wa jua.
  • Maji yawe na oksijeni ya kutosha.
  • Wape samaki chaula bora na cha kutosha.
  • Bwawa liwe kubwa ili samaki wapate nafasi ya kuogelea.
  • NAMNA YA KUANZA UFUGAJI WA SAMAKI
  • Ujenzi wa bwawa,
  • Kuchagua eneo linalofaa kwa ajili ya ufugaji.
  • Ukubwa wa eneo utategemeana na uwezo wako.
  • SIFA ZA ENEO ZURI LINALOFAA KWA UFUGAJI WA SAMAKI.
  • Liwe na maji safi na salama,
  • Liwe na udongo unao tuamisha maji,
  • Eneo lisiwe na historia ya mafuliko
  • VIGEZO MUHIMU KATIKA KUBORESHA UZALISHAJI WA SAMAKI.
  • Zingatia ubora wa maji wakati wote.
  • Zingatia uwepo wa chakula cha asili bwawani.
  • Zingatia uwiano sahihi wa samaki kulinga na bwawa lako.
  • Zingatia ubora wa vifaranga wakati wa kupandika.
  • Zingatia usafi wa bwawa kila mara.
  • Chunguza uwepo wa maadui wa samaki kila mara.
  • ULISHAJI WA SAMAKI
  • Samaki anahitaji kula ili aweze kukua na kuongezeka.
  • Vyakula vya samaki vigawanyike katika makundi mawili ambayi ni :-
  • Chakula cha asili au cha awali.
  • Chakula  cha ziada.
  • SHERIA MUHIMU ZA KUZINGATIA KATIKA ULISHAJI WA SAMAKI
  • Tenga sehemu muhimu ya kulishia samaki.
  • Siku zote lisha samaki katika muda unao fanana.
  • Lisha milo miwili kwa siku.
  • Usiwalishe samaki kupita kiasi.
  • Lisha samaki kulingana na uzito wao.
  • URUTUBISHAJI WA BWAWA.
  • Usiweke mbolea kwenye bwawa,
  • Husaidia kumea kwa vijimelea na vijidudu ambavyo huwa chakula cha  awali,
  • Vijimelea hivi husaidia maji kuwa ya kijani na kusafanya adui wa samaki kutowaona.
  • Mbolea zitumikazo ni za wanyama.
  • Wasiliana na mtaalamu juu ya kiasi cha mbolea.
  • UCHAGUZI WA MBEGU BORA YA VIFARANGA VYA SAMAKI.
  • Ubora wa samaki hutegemea na vifaranga
  • Hakikisha chanzo unachonunulia vifaranga ni cha ubora zaidi,
  • Chagua mbegu bora yenye urefu kati ya cm 8 hadi cm 10,
  • Epuka jamii ya samaki mchanganyiko,
  • KUSAFIRISHA VIFARANGA
  • Safirisha vifaranga wakati wa asubuhi au jioni,
  • Usilishe vifaranga wakati wa kuvisafilisha,
  • Hakikisha maji ya kusafirishia ni masafi na yana hewa safi,
  • Hakikisha vyombo vyo kusafilishia vifaranga ni visafi na haviwasababishii michubuko,
  • UPANDIKIZAJI WA VIFARANGA BWAWANI
  • Pandika vifaranga kulingana na bwawa lako,
  • Kuweka uwiano sahihi kutafanya upate samaki wengi,
  • Pandika vifaranga vyako mara tuu vinapofika bwawani,
  • Ukifika bwawani usimwage kwa ghafra inamisha chombo chako kwa taratibu.
  • HITIMISHO
  • Mbinu sita muhimu za kufuata ni kama zifuatazo:-
  • Mfugaji inatakiwa uwe na dhamira ya kweli ya kufuga samaki,
  • Inatakiwa kufanya tathimini ya rasilimia mali ulizonazo kwa ajili ya kuendeleza mradi wako,
  • Tambua chanzo endelevu cha mtaji wako ajili ya huo mradi,
  • Inatakiwa uwe na hurukwa ya uvumilivu na uthubutu,
  • Kufanya tathimini ya soko la bidhaa za samaki,
  • Uwe mtu wa tabia ya kujipatia elimu kuhusu kile unachokifanya.

          Ama hakika wewe mfugaji ntalajiwa ukizingatia na kuzifuata mbinu hizi ama hakika utaweza kujikwamua na umasikini sambamba na kuboresha rishe kwenye jamii yako lakini pia kuongeza ajila binafsi  kwa kuwaajili watanzania wenzako.

       

 

Matangazo

  • Bofya hapa kupata Orodha ya watakaofanya Usaili kwa ajili ya kuboresha Daftari la Wapiga Kura August 02, 2024
  • PAKUA HAPA MATOKEO YA USAILI TAREHE 10.10.2024 October 10, 2024
  • PAKUA ORODHA YA WATAKAOFANYA USAILI WA ANA KWA ANA 10-09-2023 September 09, 2023
  • Pakua Tangazo la nafasi za kazi la 08.07.2024 July 10, 2024
  • Tazama yote

Habari mpya

  • MAELEZO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA MSALALA

    September 26, 2024
  • Mashujaa wa Michezo ya watumishi nchini wapongezwa.

    September 13, 2024
  • Mkurugenzi Mtendaji ahimiza jamii kufanya mazoezi

    September 09, 2024
  • Hamasa la vijana lafunika mbio za mwenge

    August 14, 2024
  • Tazama yote

Video

Hamasa kwa jamii kujitokeza kugombea uongozi Mamlaka ya Serikali za Mitaa
Video

Viunganishi vya Haraka

  • MKATABA WA KUKODISHA MITAMBO

Viunganishi fanano

  • TAMISEMI Website
  • Shinyanga Website
  • Ajira portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Habari, Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

Anuani Nyingine

   

    • sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.