• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Baruapepe za watumishi |
Msalala District Council
Msalala District Council

Jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji nyuki
    • Idara
      • Aridhi na Nyumba
      • Maendeleo ya jamii
      • Mipango Takwimu na Tathimin
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Maji
      • Ujenzi na Miundombinu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Utalii
    • Kilimo
    • Misitu
    • Ufugaji Nyuki
    • Viwanda
    • Usafirishaji
    • Michezo na Burudani
    • Ufugaji
    • Biashara
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Kukodisha Mitambo
    • huduma za Afya
    • huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Animal Keeping
    • Kilimo
    • Huduma kwa Watumishi
    • Tasaf
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Councillors meeting
      • Chairperson Appointment
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning Committee
      • HIV Committee
      • Health and Education Committee
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Hatua
      • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango mkakati
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Matukio Picha
    • Habari
    • Matukio

Mkataba wa kukodisha mitambo ya halimashauri

              HALMASHAURI YA WILAYA YA MSALALA

 

                   MKATABA WA KUKODISHA MITAMBO YA HALMASHAURI

 

 

Mkataba huu ambao umeandaliwa kwa ajili ya kukodisha Mtambo/Mitambo ya Halmashauri  umefanyika leo tarehe……………... Mwezi……….…..Mwaka……………..………

KATI YA

 

HALMASHAURI YA WILAYA YA MSALALA S.L.P 16 KAHAMA katika Mkataba huu atajulikana kuwa ndiye mmiliki halali wa Mtambo/Mitambo hii kwa upande mmoja wa Mkataba.

NA

Ndugu………………………………………………………………………………. wa S.L.P……………………………………….ambaye katika Mkataba huu  atajulikana kama ANAYEKODI  Mtambo/Mitambo kwa upande wa pili wa mkataba huu.

NA

 

KWA KUWA MMILIKI WA MITAMBO AMBAYE NI HALMASHAURI, mmiliki halali wa Greda/Rola  na ambalo limesajiliwa kwa ajili ya kufanya kazi mbalimbali za ujenzi kama barabara, kusawazisha maeneo na kushindilia udongo. Mali hii inatambuliwa kwa utambulisho ufuatao:

S/No
UTAMBULISHO
CATERPILLAR
COMPACTOR
      1
Namba ya usajili


      2
Namba ya Injini


      3
Chasses


      4
Aina ya Mtambo


      5
Model


      6
Rangi ya Mtambo


                                                                        NA

KWA KUWA ANAYEKODI mtambo/mitambo ameonesha dhamira ya kukodi Greda/Rola Mtambo/Mitambo  yote miwili (2) kwa wakati mmoja kwa ajili ya kufanyia kazi  ambayo Mteja amepanga kufanya ……………………………………………..………..………….ambapo kazi inayotarajiwa kufanyika imo ndani ya Mkoa wa Shinyanga. Hapa Mkataba unaonesha sehemu au eneo la Halmashauri ambako Mitambo inaenda kufanyakazi  katika Halmashauri ya Wilaya ya.………………Wilaya…………..……Mkoa wa………………..

 

SASA IKUBALIKE KAMA IFUATAVYO: -

  • Kwamba, anayekodi mitambo atailipa Halmashauri malipo halali kiasi cha   Tshs………………………………………………………ambapo haya ni malipo ya siku……..…………………za makubaliano ya Mkataba huu yaani kuanzia tarehe………………………….………...hadi tarehe………................................…..malipo haya yatafanyika baada ya kusaini Mkataba na kabla ya kukabidhiwa  Mtambo au Mitambo.
  • Kwamba, kwa kipindi chote cha Mkataba ambacho Greda/Rolla litakapokuwa mikononi mwa ALIYEKODI kwa ajili ya kazi zake: atazingatia mambo yafuatayo:-
  • Mtambo lazima uwe na mafuta ya kutosha muda wote wa kazi.
  • Kumlipa fundi Mitambo(Operata) pamoja na msaidizi wake kwa kiwango cha Tshs. 50,000/=(elfu hamsini tu) kwa Operata na Tshs 20,000/=(elfu ishirini tu) Msaidizi wa Operata kwa siku.
  • Kutoa mafuta kwa ajili ya kusafirisha Mtambo kutoka Halmashauri ya Msalala hadi eneo la kazi na kuirudisha mitambo Makao makuu ya halmashauri.
  • Kutoa vilainishi vya Mtambo.
  • Gharama za ulinzi wa Mitambo pia gharama za kuegesha ni jukumu la anayekodi.
  • Mtambo utasafirishwa au utabebwa iwapo umbali wa sehemu ya kazi ni zaidi ya Km……………..kutoka Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Msalala.
  • Kwamba, ANAYEKODI mtambo itampasa kwanza aweke dhamana ya kurudisha mtambo Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Msalala. kiasi cha Tshs………………………...........................................................(Kiasi hiki cha fedha kitarejeshwa kwa anayekodi baada ya kurudisha mtambo hapa Halmashauri.)
  • Gharama za kukodi Greda/ Roller kwa saa ni kama ifuatavyo:-
  • Greda kwa saa 1 ni Tsh………………………………………………………
  • Roller kwa saa 1 ni Tsh……………………………………………………….
  • Kwamba, Greda au Rolla litafanya kazi kwa muda wa masaa nane (8) wakati wa saa za mchana  kwa siku na si zaidi ya muda huo.
  • Kwamba, hakuna kazi nyingine ya ziada ambayo Greda litafanya tofauti na makubaliano ya Mkataba huu.
  • Kwamba endapo Greda/Rolla litaharibika ni sharti Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala ajulishwe na hakuna matengenezo yatakayofanyika kabla ya Mkurugenzi Mtendaji (W) hajatoa kibali.
  • Kwamba, baada ya Mkurugenzi Mtendaji (W) kuarifiwa juu ya hitilafu ya Greda/Rolla atamtuma mtaalamu wake ambaye atasimamia matengenezo hayo kwa gharama za aliyekodi mtambo husika.
  • Kwamba, endapo atakayekodi mtambo kwa makubaliano ya Mkataba huu atashindwa kuurudisha mtambo kama yalivyo makubaliano ya mkataba huu, atailipa Halmashauri kiasi cha Tshs………………………………………………………..………..kwa kukiuka Masharti ya Mkataba huu (Kurudisha mtambo nje ya muda wa makubaliano).
  • Kwamba, endapo itatokea tatizo katika kutafsiri Mkataba huu, sheria za nchi zitatumika.

KWA USHUHUDA wa pande zote mbili wa makubaliano haya ambayo yatatekelezwa kwa kuzingatia sheria za nchi kuanzia leo kama tarehe inavyoonesha hapo juu ya kuanza kutumika kwa Mkataba huu.

Mkataba huu umesainiwa kwa makubaliano ya pande zote mbili za Mkataba huu na kuwekwa mhuri na kutolewa hapa KAHAMA leo hii tarehe…………………mwezi …………………2017

 

KWA UPANDE WA HALMASHAURI

  • Jina kamili:…..……………………………………………
  • Cheo: Mkurugenzi Mtendaji (W) Msalala
  • Sahihi…………………………………………..…….….…
  • Jina kamili:…………………………………………….......
  • Cheo: Meneja wa Mitambo wa Halmashauri
  • Sahihi:……………………………………….………………

KWA UPANDE WA ANAYEKODI:

 

  • Jina kamili:…………………………….…………………………
  •  Cheo: …………………………………………………………….
  •  Sahihi:…………………………..…………………….…………..
  • SHAHIDI
  • Jina kamili:………………………………………….………………
  • Cheo: …………………………………………………..…………..

Sahihi………………………………………………………………..

MKATABA HUU UMEANDALIWA NA KUSHUHUDIWA NA:

  • Jina kamili………………………………………………………….…
  •  Cheo: Mwanasheria wa Halmashauri

 Sahihi…………………………………………....………..……………

Matangazo

  • Bofya hapa kupata Tangazo la Ufadhili wa masomo toka kwa Mbunge wa jimbo la msalala October 19, 2022
  • KUITWA KWENYE USAILI TAREHE 28.02.2023 February 23, 2023
  • Pakua hapa maelekezo ya namna kujikinga na ugonjwa wa Ebola October 12, 2022
  • Sikukuu za Nane Nane July 24, 2019
  • Tazama yote

Habari mpya

  • "Nimelizishwa na kazi mnazozifanya Halmashauri"

    February 07, 2023
  • Serikali Yapania Kuondosha Utegemezi

    December 19, 2022
  • Baraza lapongeza ripoti ya ufungaji hesabu zake

    September 28, 2022
  • UN Women yaendelea kumwaga miradi Msalala

    January 25, 2022
  • Tazama yote

Video

AFSA MANUNUZI WA WILAYA PAMOJA NA LOCAL FUNDI WAMEOMBA ZABUNI PAMOJA NA UJENZI WA ZAHANATI YA NGAYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • MKATABA WA KUKODISHA MITAMBO

Viunganishi fanano

  • TAMISEMI Website
  • Shinyanga Website
  • Ajira portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Habari, Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

Anuani Nyingine

   

    • sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.