• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Baruapepe za watumishi |
Msalala District Council
Msalala District Council

Jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji nyuki
    • Idara
      • Aridhi na Nyumba
      • Maendeleo ya jamii
      • Mipango Takwimu na Tathimin
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Maji
      • Ujenzi na Miundombinu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Utalii
    • Kilimo
    • Misitu
    • Ufugaji Nyuki
    • Viwanda
    • Usafirishaji
    • Michezo na Burudani
    • Ufugaji
    • Biashara
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Kukodisha Mitambo
    • huduma za Afya
    • huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Animal Keeping
    • Kilimo
    • Huduma kwa Watumishi
    • Tasaf
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Councillors meeting
      • Chairperson Appointment
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning Committee
      • HIV Committee
      • Health and Education Committee
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Hatua
      • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango mkakati
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Matukio Picha
    • Habari
    • Matukio

Huduma za Maji

Idara ya Maji

Halmashauri ya Msalala ina jumla ya wakazi 250,727 kati yao 129,376 wanapata huduma ya Maji safi na salama ambao ni sawa na asilimia 51.6.Halmashuri ina jumla ya miradi ya maji ya bomba na Visima 347, .kati ya miradi hiyo visima virefu ni 48 vilivyofungwa pampu za mkono, visima vifupi vipo 275 vilivyofungwa pampu za mkono, mabwawa 6, miradi 6 ya maji ya Mtiririko (Gravity scheme) na miradi 2 inatumia nguvu ya jua.

Mafanikio

  • Ujenzi wa mradi wa Maji wa Igombe na Mhama umekamilika na una vituo 10 vya maji pamoja na mabirika 2 kwa ajili ya matumizi ya mifugo.
  •    

    Kielelezo 26.Ujenzi wa tanki lenye lita 75,000 ukiendelea katika Kijiji cha Igombe

      
    • Aidha hadi kufikia mwezi Julai, 2017 Ujenzi umekamilika na kukabidhiwa kwa jumuiya ya Watumiaji maji ukiwa na tanki lenye ujazo wa lita 75,000, vituo 10 vya kuchotea maji pamoja na mabirika 2 ya kunyweshea mifugo
      

    Kielelezo 27.Ujenzi wa vituo vya Maji, Usambazaji bomba na Birika la kunyweshea mifugo

      

    Aidha tanki la kupokelea maji katika kijiji cha Igombe limekamilika na maji yanatoka katika vituo 12 vya kusambazia maji.

       

    Kielelezo 28.Tanki kubwa lenye ujazo wa lita 75,000 kwa ajili ya kusambazia maji likiwa limekamilika

      
    • Pia Idara ya maji imefanikiwa kufufua na kufanya ukarabati wa Visima visivyopungua 45 taratibu za kushughulikia matatizo ya miradi ya maji iliyokuwa haifanyi kazi zinaendelea kulingana na taarifa zinapopatikana kutoka katika maeneo husika.
     


    Kielelezo 29.ufufuaji wa visima vya maji katika baadhi ya maeneo

     
    • Usanifu wa mradi wa maji wa Nduku – Busangi, Nyamigege, Gula, Kisuke, Ntundu, Ntobo na Makao Makuu unaendelea.
    • Kuzijengea uwezo Jumuiya za Watumiaji Maji 10 na kuzifufua 6 pamoja na uhamasishaji kwa jumuiya nyingine 6 mpya za watumia maji.
     

Matangazo

  • Bofya hapa kupata Tangazo la Ufadhili wa masomo toka kwa Mbunge wa jimbo la msalala October 19, 2022
  • KUITWA KWENYE USAILI TAREHE 28.02.2023 February 23, 2023
  • Pakua hapa maelekezo ya namna kujikinga na ugonjwa wa Ebola October 12, 2022
  • Sikukuu za Nane Nane July 24, 2019
  • Tazama yote

Habari mpya

  • "Nimelizishwa na kazi mnazozifanya Halmashauri"

    February 07, 2023
  • Serikali Yapania Kuondosha Utegemezi

    December 19, 2022
  • Baraza lapongeza ripoti ya ufungaji hesabu zake

    September 28, 2022
  • UN Women yaendelea kumwaga miradi Msalala

    January 25, 2022
  • Tazama yote

Video

AFSA MANUNUZI WA WILAYA PAMOJA NA LOCAL FUNDI WAMEOMBA ZABUNI PAMOJA NA UJENZI WA ZAHANATI YA NGAYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • MKATABA WA KUKODISHA MITAMBO

Viunganishi fanano

  • TAMISEMI Website
  • Shinyanga Website
  • Ajira portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Habari, Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

Anuani Nyingine

   

    • sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.