HALMASHAURI YA WILA YA MSALALA YAENDELEA KUJENGA NA KUBORESHA MIUNDOMBINU
Halimashauri ya wilaya ya Msalala yaendelea na utengenezaji na uboreshaji wa miundo mbinu yake. Mhandisi wa ujenzi wa Halimashauri ya wilaya ya msalala Ndg Elias Kalomo amewakadhi uongozi wa zahanati ya Buluma mkandarasi aitwaye Bullem Investment Ltd atakaye fanya zoezi la kujenga Maabara ya kisasa. Akimkabidhi mkandarasi huyo mbele ya kaimu Mganga mkuu wa zahanati hiyo Ndg Usowel John , Kaimu mtendaji Ndg Richard J. Lufungulo na Mjumbe wa kamati ya zahanati hiyo Ndg Mathius Bunzali. Uongozi huo ulionesha eneo ambalo maabara hiyo itajengwa na kufanyiwa ukaguzi na mahandisi wa ujenzi pamoja na mkandarasi atakaye fanya zoezi hilo. Mbali na hilo mhandisi wa
Msalala alikagua zoezi la ujenzi wa makalvati unaoenderea barabara ya Jana- Isaka linalo fanywa na mkandarasi aitwaye Bullem Investment.
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.