Hatimaye kilio cha wakazi wa miji midogo ya Kagongwa na Isaka wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga kuhusu tatizo la maji kimepata majibu baada ya Serikali kusainimkatabawaujenziwakuletamajikutokabombakuukinaga –Kagongwa-Isakaambapokampuniya SCECMC imeteuliwakufanyashughulihiikwagharamayaTshs. 12,812,365,158.38.
Sambamba na hilo pia mkandaras iwa kujenga Miundombinu yausambazaji maji katika maeneo hayo amepatikana kutoka kampuni ya Oriental construction Limited ya Kenya kwagharamayaTshs. 11,910,497,767 ambapoameingiaMkatabawakujengaMiundombinunausambazajiwaMajinaujenziwaMatanki.
Mikatabahiyoilisainiwatarehe 08/05/2017 mjini Dodoma nakazizaujenzihuozitaanzahivikaribuni. Shughulihizozinatazamiwakukamilikakatikakipindi cha miezi 18. Kukamilikakwaujenzihuoutawanufaishawananchiwamaeneohayokwaniwamekuwanatatizo la majikwamudamrefu.
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.