UJENZI WA ZAHANATI YA NGAYA WAPAMBA MOTO
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dk. Rashid Mfaume akiamaba tana na viongozi mbalimbali toka ngazi ya Mkowa afanya ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Zahanati ya Ngaya iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Msalala leo tarehe 18/10/2018 na kujione jinsi local Fundi wanavyo endelea na ujenzi huo kwakasi ya kuridhisha .
Sambamba na hilo Dk. Mfaume alizungumza na kamati zote zinazohusika moja kwa moja na usimamizi wa ujenzi wa Zahanati hiyo ikiwemo kamati ya mapokezi, kamati ya ulinzi na kamati ya manunuzi ambapo aliwataka kamati zote kufanya kazi kwa kushirikiana na kwa uwazi.
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.