imetumwa: July 17th, 2019
Kauli hii imetolewa leo na waziri wa madini MHE. Doto Biseko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha kakola ndani ya Halmashauri ya Msalala
wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. Katika mkutano ...
imetumwa: June 30th, 2019
Ushauri huu umetolewa katika kikao cha kupitia hoja za CAG na Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Bi. Zainab Tellack leo tarehe 29/06/2019 katika ukumbi wa Halmashauri ya Msalala uliopo katika kijiji cha ...
imetumwa: June 29th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainab Tellack amezitaka Halmashauri za mkoa wa Shinyanga kuepuka hoja za ukaguzi zisizokuwa na mashiko kwani hoja nyingi zipo ndani ya uwezo wa Halmashauri kuzizu...