Halmashauri ya wilaya ya Msalala ya kamilisha ujenzi wazahanati 12 katika kata za BUlyanhulu, Ikinda, Lunguya, Mwanase, Jana, Ntobo, Chela na Mwakata. Ujenzi huo umefanywa kwamchango wa nguvu za wananchi kwa kuinua boma na Halmashauri kwakumalizia upauaji, rangi, vigae na kukamilisha nyumba za watumishi kwa familiambili.
Kati yazahanati 12 zahanati 6 zimeshaanza kutoahuduma kwa wananchi. Halmashauri inategemea kuzifungua zahanati zingine 6 hivi karibuni kwa kuwa tayari zimeshakamilika kwakuwekewa huduma zote muhimu kwa zahanati kuweza kufanya kazi. Sambamba na hilo Halmashauri imekamilisha ukarabati kwa zahanati na vituo vyake vyote vya Afya kupitia mradi wa RBF.
Kwasasa inajipanga kuhakikisha kuwa kufikia mwezi wa saba mwaka huu zahanati navituo vyote vya Afya vinakuwa na dawa muhimu muda wote kwakuwa pesa za kununulia dawa hizo zipo, nani wiki hii mwanzo nidawa zimeletwa na mzabuni na tayari zimeshapelekwa vituoni, hayo yalisemwa jana nadaktari wa Wilaya Dr. Hamad Nyembea alipokuwa akijibu swali la Mh. Gerald Mwanzia aliyetaka kujua ni lini watumiaji wabima zaafya kupitia Mfuko wa CHF iliyo boreshwa watakuwa nauhakika wakupata dawa pindi wanapo pewa matibabu.
Zahanatiya kata ya Mwanase nimiongoni mwa zahanati 6 ambazo zimekamilika nazinatazamiwa kuanza huduma mwishoni mwamwezi wa sita ilikuwezesha wanamwanase kupata huduma za Afya katika mazingira yao. Juhudihizizimefanywanawah. Madiwani wakishirikia na wataalamu wa Halmashauri kuhakikisha wananchi wa Halmashauri ya Msalala wanakuwa na Afya njema muda wote ilikuweza kuendelea kulitumikia taifa kwaujumla kwani tunaamini Afya njema ndio mtaji wamaendeleo ya wanan