Sungusungu itumike kulinda miradi yote ya maendeleo katika vijiji vyetu kwani miradi mingi imekuwa ikihujumiwa kwa kuibiwa na wanachi wasio waaminifu