Mbunge wa Msalala Mh. Ezekiel Maige aiomba Serilkali ya awamu ya tano kuboresha huduma katika sekta ya kilimo na mifugo pia aliiomba Serikali kusaidia upatikanaji wa chakula Mkoa wa Shinyanga ili kupunguza wimbi la upungufu wa chakula.
Pesa za Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Msalala.
Baraza la Madiwani la mwisho wa mwaka 2015/16 lililofanyika Halmashauri ya Msalala Kahama.
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.