Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala anawatangazia wanachi wote wa Halmashauri hiyo kuwa kutakuwa na kikao cha Baraza la Madiwani cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2017/18 tarehe 15/02/2018 na 16/02/2018. Kikao hicho kitafanyika katika Ukumbi wa Halmashauri , wananchi wote mnakaribishwa.
Imetolewa na Kitengo cha TEHAMA.
MSALALA
Igomelo area
Sanduku la Barua: P.O.BOX 16 KAHAMA
Simu ya mezani: +255 271 0 182
Namba za simu:
Baruapepe: ded@msalaladc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.