Mkurugenzi Mtendaji wa Halmahsuri ya Wilaya ya Msalala anawatangazia wananchi wote kuwa mwenge wa uhuru utapokelewa kimkoa katika kijiji cha namba 9 kilichopo kata ya Bulyanhulu tarehe 08/05/2019 na kukimbizwa katika Halmashauri hiyo na mkesha utakuwa katika soko la Bulige hivyo wananchi wote tujitokeze kuupokea mwenge wa Uhuru.
Igomelo area
Sanduku la Barua: P.O.BOX 16 KAHAMA
Simu ya mezani: +255 271 0 182
Namba za simu:
Baruapepe: ded@msalaladc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.