• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Baruapepe za watumishi |
Msalala District Council
Msalala District Council

Jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji nyuki
    • Idara
      • Aridhi na Nyumba
      • Maendeleo ya jamii
      • Mipango Takwimu na Tathimin
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Maji
      • Ujenzi na Miundombinu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Utalii
    • Kilimo
    • Misitu
    • Ufugaji Nyuki
    • Viwanda
    • Usafirishaji
    • Michezo na Burudani
    • Ufugaji
    • Biashara
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Kukodisha Mitambo
    • huduma za Afya
    • huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Animal Keeping
    • Kilimo
    • Huduma kwa Watumishi
    • Tasaf
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Councillors meeting
      • Chairperson Appointment
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning Committee
      • HIV Committee
      • Health and Education Committee
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Hatua
      • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango mkakati
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Matukio Picha
    • Habari
    • Matukio

Halmashauri kutoa fedha kwa wananchi nje nje

imetumwa: June 30th, 2020

Halmashauri ya Msalala imepanga kutoa fedha zote zinazotakiwa kwenye vikundi vya wanawake ,vijana na walemavu kwa mwaka wa fedha ujao yaani 2020/21 ili kuwezesha makundi hayo kujiendeleza katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo kama Ilani ya chama tawala inavyosema “ kuwezesha wananchi kiuchumi”. Kauli hii imesemwa na mweka Hazina wa Halmashauri hiyo ndugu Masatu Mnyoro wakati wa  kikao cha wataalamu cha kujadili taarifa za mwisho wa wiki ambacho hufanyika kila Jumanne  ya kila wiki.

Kwa upande wake Afisa maendeleo ya jamii ,jinsia wanawake na watoto ndugu Neema Katengesha amesema kwa mwaka wa fedha halmashauri ya Msalala imefanikiwa kutoa kiasi cha Tsh. Milioni mia mbili arobaini ambapo Milioni mia mbili na ishirini ni fedha zilizotokana na makusanyo ya mapato ya ndani na Milioni ishirini ni fedha za marejesho ya vikundi ambazo Halmashauri iliwakopesha. Afisa maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na watoto huyo ameendelea kusema kuwa Halmashauri inakumbana na changamoto ya wananchi wanaokopa kutokurudisha fedha kwa wakati suala ambalo linasababisha vikundi vingine kutopewa fedha kwa wakati.

Kwa upande wao wajumbe wa kikao hicho wamepongeza jitihada zinazofanywa na Halmashauri hususani kutoa asilimia kumi kwa kila wiki ya makusanyo yake kwa mukundi ya wanawake, walemavu na vijana na kuitaka Halmashauri kuchagua vikundi vichache ambavyo vitafanya mradi mkubwa ambao utawezesha wajasiriamali hao kujitegemea na hivyo kuinua pato la Halmashauri na Taifa kwa ujumla. Sambamba na hili wajumbe wameitaka Halmashauri kuanza kutumia vyombo vya sheria kuhakikisha mikopo inayokopeshwa inarejeshwa kwa wakati ili iweze kuwanufaisha wajasiriamali wengi.

Imetolewa na kitengo cha Habari na Mawasiliano

MSALALA

Matangazo

  • Nafasi za Kazi za Udereva February 12, 2020
  • Sikukuu za Nane Nane July 24, 2019
  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUUZA MAGARI NA CHUMA CHAKAVU October 09, 2017
  • PICHA ZA GARI AINA YA ISUZU, TOYOTA LANDCRUISER NA NISSAN PATROL NA CHUMA CHAKAVU VITAKAVYOUZWA October 10, 2017
  • Tazama yote

Habari mpya

  • HALMASHAURI YAONGEZA BAJETI YA MADAWA

    January 28, 2021
  • Halmashauri kutoa fedha kwa wananchi nje nje

    June 30, 2020
  • MAANDIKO YAIBEBA HALMASHAURI

    January 30, 2020
  • Kamati ya Lishe yajizatiti kuhakikisha jamii inakuwa na afya bora

    November 29, 2019
  • Tazama yote

Video

AFSA MANUNUZI WA WILAYA PAMOJA NA LOCAL FUNDI WAMEOMBA ZABUNI PAMOJA NA UJENZI WA ZAHANATI YA NGAYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • MKATABA WA KUKODISHA MITAMBO

Viunganishi fanano

  • TAMISEMI Website
  • Shinyanga Website
  • Ajira portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Habari, Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Igomelo area

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 16 KAHAMA

    Simu ya mezani: +255 271 0 182

    Namba za simu:

    Baruapepe: ded@msalaladc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.