TANGAZO LA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO MWAKA 2025_2026
Posted on: July 12th, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala anawatangazia wananchi wote wenye sifa zilizoambatishwa kwenye tangazo hili, kuomba kazi ya kukusanya mapato kwa mkataba.