Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, ndugu. Simon Berege anawatangazia wananchi wote kuwa kutakuwa na kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Msalala tarehe 17 na 18 mwezi wa nane mwaka 2017, lengo la kikao hicho ni kutathmini maendeleo yaliyopatikana na changamoto zake kwa mwaka 2016/2017 hivyo wananchi wote mnakaribishwa katika kikao hicho.
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.