Mkurugenzi Mtendaji wa Halmahsuri ya Wilaya ya Msalala NDG. Khamis J. Katimba anawatangazia wananchi wote kuwa mwenge wa uhuru utapokelewa katika kijiji cha Ntobo kilichopo kata ya Ntobo uwanja wa Shule ya Msingi Wichamike tarehe 01/08/2023 na kukimbizwa katika Halmashauri hiyo na mkesha utakuwa katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kakola A na B hivyo wananchi wote tujitokeze kuupokea mwenge wa Uhuru.
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.