HUDUMA YA USAFIRI WA ANGA WAZINDULIWA KAHAMA
Huduma ya usafiri wa anga imezinduliwa leo tarehe 05/09/2017 Wilayani Kahama na Mkuu wa mkoa Mhe. Zainab R. Telack na kuhudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh. Fadhir Nkurlu pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri ya Kahama Mji na Msalala. Ambapo huduma ya usafiri inayotolewa na shirika la precission air line itakuwa inatolewa mara tatu kwa wiki ikiwa ni siku ya Jumanne, Jumapili na Alhamisi.
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Msalala. Haki zote zimehifadhiwa.